Mtume ﷺ alikuwa akisema haya alipotoka kwenda safarini.
-
سُبْحَانَ الَّذِي سَخَّرَ لَنَا هَٰذَا وَمَا كُنَّا لَهُ مُقْرِنِينَ
Subhanal-ladhi sakhkhara lana hadha wa ma kunna lahu muqrinin
Ametakasika aliyemfanya huyu atutumikie, na tusingeliweza kumtiisha wenyewe,
-
وَإِنَّا إِلَىٰ رَبِّنَا لَمُنْقَلِبُونَ
Wa inna ila rabbina la-munqalibun
na hakika sisi tutarudi kwa Mola wetu.
-
اللَّهُمَّ إِنَّا نَسْأَلُكَ فِي سَفَرِنَا هَٰذَا الْبِرَّ وَالتَّقْوَىٰ
Allahumma inna nas'aluka fi safarina hadhal-birra wat-taqwa
Ewe Mwenyezi Mungu, katika safari yetu hii tunakuomba wema na ucha Mungu,
-
وَمِنَ الْعَمَلِ مَا تَرْضَىٰ
Wa minal-'amali ma tardha
na matendo unayoyaridhia.
-
اللَّهُمَّ هَوِّنْ عَلَيْنَا سَفَرَنَا هَٰذَا، وَاطْوِ عَنَّا بُعْدَهُ
Allahumma hawwin 'alaina safarana hadha, watwi 'anna bu'dah
Ewe Mwenyezi Mungu, turahisishie safari yetu hii, na utufupishie umbali wake.
-
اللَّهُمَّ أَنْتَ الصَّاحِبُ فِي السَّفَرِ، وَالْخَلِيفَةُ فِي الْأَهْلِ
Allahumma antas-sahibu fis-safar, wal-khalifatu fil-ahl
Ewe Mwenyezi Mungu, Wewe ndiye Mwenzi safarini, na Mwangalizi wa familia.
-
اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ وَعْثَاءِ السَّفَرِ، وَكَآبَةِ الْمَنْظَرِ
Allahumma inni a'udhu bika min wa'tha'is-safar, wa ka'abatil-mandhar
Ewe Mwenyezi Mungu, najikinga kwako kutokana na taabu ya safari, na kila mandhari yenye kuhuzunisha,
-
وَسُوءِ الْمُنْقَلَبِ فِي الْمَالِ وَالْأَهْلِ
Wa su'il-munqalabi fil-mali wal-ahl
na kurudi nikakuta madhara katika mali au familia.